prb-hero

Tanzania: Vijana Na Uzazi Wa Mpango Tanzania

Data mpya kutoka kwenye utafiti wa hivi karibuni wa afya na idadi ya watu (DHS) Tanzania zinaonesha kwamba nchi haikutambua dhamira yake ya mwaka 2012 ya kuongeza idadi ya watumiaji wa uzazi wa mpango maradufu kufikia watu Milioni 4.2 na kuongeza jumla ya matumizi ya uzazi wa mpango hadi 60% ifikapo mwaka 2015.

 

View in English

Investing in the Future: Youth and Family Planning in Tanzania (Swahili Language Version)