Project: Empowering Evidence-Driven Advocacy
Tanzania: Vijana Na Uzazi Wa Mpango Tanzania
Karibu kila kijana wa kike aliyeolewa mmoja kati ya wane wenye umri kati ya miaka 15 hadi 19 wanatamani kutumia njia za uzazi wa mpango lakini kwa sasa hawatumii njia yoyote.